Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu
wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud alipowasili katika Uwanja wa Amani
Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi
mbalimbali wastaafu alipowasili katika Uwanja
wa Amani Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria Madhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari, 2022.




No comments:
Post a Comment