Meneja
wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashariki, Badru Idd akizungumza wakati wa
ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Shirikisho la Umoja wa
Wamachinga mkoa wa Dar es Salaam lililoendeshwa na Benki ya CRDB leo
Februari 20, 2022 jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Kitengo cha wateja binafsi Benki ya CRDB, Stephen Adili akizungumza wakati wa
ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Machinga iliyoendeshwa na
Benki ya CRDB leo Februari 20, 2022 jijini Dar es Salaam.
Mafunzo haya yamehudhuriwa na Shirikisho la Umoja wa Machinga Mkoa wa
Dar es Salaam (Machinga Saccos) na baadhi ya wawakilishi wa
wafanyabiashara hao kutoka mikoa yote Tanzania ikiwa ni mwendelezo wa
ushirikiano kati ya Benki ya CRDB na wafanyabiashara wadogo.
Makamu
Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Wamachinga mkoa wa Dar es salaam,
Steven Lusinde akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya
Fedha kwa
Shirikisho la Wamachinga Mkoa wa Dar es Salaam lililoendeshwa na Benki
ya CRDB leo Februari 20, 2022 katika
ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment