Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Dkt. Ally Possi, akimsikiliza Mhandisi Daisim Mlay, kuhusu utendaji kazi wa mashine zilizopo ndani ya meli, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea chuo hicho jijini Dar es Salaam.
About HABARI MSETO
No comments:
Post a Comment