Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, akizungumza wakati wa akifungua rasmi mkutano wa kujenga uelewa kuhusu taarifa za Hali ya Hewa, fursa na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa kwa wadau wa mazingira. Mkutano huo umefanyika leo Februari 18, 2022 jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Tathimini ya Athari kwa Mazingira (NEMC), Lilian Lukambuzi, akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa
kujenga uelewa kuhusu taarifa za Hali ya Hewa, fursa na changamoto za
mabadiliko ya hali ya hewa kwa wadau wa mazingira.
Baadhi ya wadau wa mazingira wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wadau wa mazingira wakiwa katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi, akizungumza katika mkutano wa kujenga uelewa kuhusu taarifa za Hali ya Hewa, fursa na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa kwa wadau wa mazingira.
No comments:
Post a Comment