HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 16, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA KITAIFA NA KIMATAIFA IKULU



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya Kitaifa na Kimataifa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kushuhudia uzinduzi wa matumizi ya  Mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE). (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages