HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 24, 2022

TAWOMA yawakutanisha wachimbaji madini wanawake

Waziri wa Madini, Doto Biteko, akisalimiana na wanachama wa Chama cha Wanawake Wachimba Madini nchini (TAWOMA), baada ya kuwasili leo kwa ajili ya kufungua mkutano wao unaofanyika jijini Dodoma. Picha na Deus Mhagale.

Waziri wa Madini, Doto Biteko,akiangalia madini yaliyoongezwa thamani katika banda la wanachama wa TAWOMA.

Wanachama wa chama hicho wakimsikiliza kwa makini Waziri alipokuwa akifungua mkutano wao.


Katibu Mtendaji wa Chama hicho Salma Ernest, akitoa maeleo ya chama hicho kabla ya Waziri kufungua.

Baadhi ya wabunge wanaotoka katika mikoa inayochimbwa madini wakiwa katika mkutano huo.


No comments:

Post a Comment

Pages