Mke wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Mama Zainab Kombo akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Fidel Castro Chakechake Pemba taulo za kike kwa niaba ya Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Mke
wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa
kwanza wa Rais Zanzibar Mama Zainab Kombo akishirikiana na viongozi wa
Ngome ya Wanawake wakigawa nguo kwa wanachi wasiojiweza huko Jimbo la
Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Wanawake kwa chama hicho.


No comments:
Post a Comment