HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 02, 2022

NMB ilivyoipamba Siku ya Wafanyakazi 'MEI MOSI'

Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakipita mbele ya Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan wakiwa na bango lao (Huduma bora kwa Wateja ndiyo Utamaduni Wetu)  wakati wa  kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani MEI MOSI iliofanyika Kitaifa jijini Dodoma.  Benki ya NMB imeungana na wafanyakazi wote Duniani kuadhimisha siku ya wafanyakazi, ambayo kitaifa imefanyika Dodoma. (Na Mpigapicha Wetu).

 Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakipita mbele ya Rais wa Awamu ya Sita Samia Suluhu Hassan wakiwa na bango lao (Huduma bora kwa Wateja ndiyo Utamaduni Wetu)  wakati wa  kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani MEI MOSI iliofanyika  Kitaifa jijini Dodoma.  Benki ya NMB imeungana na wafanyakazi wote Duniani kuadhimisha siku ya wafanyakazi, ambayo kitaifa imefanyika Dodoma. (Na Mpigapicha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages