Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati wa
Benki ya CRDB, Boma Labala, akizungumza katika mdahalo
ulioandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wajasiriamali wanaofanya Biashara ya Mtandao
“CRDB Bank Instaprenyua” uliofanyika leo jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na wafanyabiashara zaidi ya 300 huku wengine zaidi ya milioni 1 wakifuatilia katika mitandao ya kijamii. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma
kwa Wateja CRDB, Yolanda Urio, Mwakilishi kutoka META, Gillsant Mlaseko na Mkuu wa Kitengo cha Masoko CRDB, Joseline Kamhanda. (PICHA NA JOHN DANDE).
Mkuu wa Kitengo cha Huduma
kwa Wateja Benki ya CRDB, Yolanda Urio, akitoa mada katika mdahalo
ulioandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wajasiriamali wanaofanya Biashara ya Mtandao
“CRDB Bank Instaprenyua” uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa
Rasilimali Watu Benki ya CRDB, Godfrey Rutasingwa (kulia), akizungumza katika mdahalo
ulioandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wajasiriamali wanaofanya Biashara ya Mtandao
“CRDB Bank Instaprenyua” uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Afisa Mwandamizi wa Kodi TRA, Fredy Mwesiga na Afisa Usajili Mwandamizi BRELA,
Neema Kitala. (NA MPIGA PICHA WETU).
No comments:
Post a Comment