HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 09, 2022

SIMBA yakamilisha usajili wa Habib Kyombo

Klabu ya soka ya Simba SC imekamilisha usajili wa mchezaji Habibu Kyombo kutoka Mbeya Kwanza kwa mkataba wa miaka miwili.

Kyombo aliwahi kusajiliwa na klabu ya Mamelodi Sundowns na baadaye kurejea tena nchini. Mchezaji mzawa mwenye hadhi ya kucheza kwenye timu kubwa Afrika. 
 
Akaunti ya Simba imeandika "Tumekamilisha usajili wa mchezaji Habib Kyombo akitokea Mbeya Kwanza kwa mkataba wa miaka miwili."  
 



No comments:

Post a Comment

Pages