HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 09, 2022

KINANA atembelea banda la VETA katika Maonesho ya SABASABA 2022

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahmann Kinana akiwa ameshika mashine ya kupuchukulia mahindi iliyobuniwa na walimu kwa kushirikiana na wanafunzi katika Chuo Cha Ufundi VETA- Dodoma. Anayetoa maelekezo ni Mwalimu wa VETA Dodoma Filbart John Kingilisho,  leo Julai 9,2022 baada ya kutembelea katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba mkoani Dar es Salaam. (PICHA NA FAHADISIRAJI WA CCM).

No comments:

Post a Comment

Pages