HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 04, 2022

Rais Samia ashuhudia tukio la uwekaji wa Saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kipande cha nne kutoka Tabora- Isaka km 165

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kipande cha nne kutoka Tabora- Isaka km 165 katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Julai, 2022. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TRC Masanja Kadogosa akisaini Mkataba pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Yapi Merkez Bw. Aslan Uzun. (PICHA NA IKULU). 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kipande cha nne kutoka Tabora- Isaka km 165 katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Julai, 2022.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha kutoka Tabora hadi Isaka na Mkataba wa Mhandisi Mshauri kwa ajili ya kutoa mafunzo ya uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR).

 

No comments:

Post a Comment

Pages