HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 12, 2022

SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA

Afisa habari wa Simba, Ahmed Ally, akimtambulisha kwa waandishi wa habari kocha mpya wa timu hiyo, Zoran Maki. Kocha huyo ataambatana na kikosi cha Simba katika Pre Season ya maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23 itayofanyika jijini Ismailia, Misri.
Kocha Zoran Maki, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutambulishwa.

No comments:

Post a Comment

Pages