Baadhi
ya viongozi wa Dini katika jiji la Tanga wameshauri kutumika kwa
tamaduni za maeneo mbalimbali ikiwemo Kaswida katika kuhamasisha chanjo
ya UVIKO 19 .
Wakiwasilisha
maoni yao wakati wa kikao kilichowakutanisha viongozi hao kujadili
mambo mbali ikiwemo mikakati ya uhamasishaji na utaoji wa elimu kuhusu
chanjo ya UVIKO 19.
IDADI YA WALIOCHANJA YAFIKIA MIL 11, TANGA BADO SANA.
ZAIDI
ya watu Milioni 11 kati ya Milioni 30.7 wamepatiwa Dozi kamili ya
Chanjo ya UVIKO 19 huku Serikali ikongeza vituo vya utoaji chanjo hadi
kufikia 7000 ndani ya miezi mitano kutoka vituo 550 vilivyokuwepo awali
kitaifa
Waziri wa Afya
Ummy Mwalimu ameyasema hayo mkoani Tanga wakati akifungua kikao cha
viongozi wa Dini uliowashirikisha pia wadau wengine maendeleo kujadili
mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya uhamasishaji na elimu kuhsuu chanjo
ya UVIKO 19 .
No comments:
Post a Comment