Jengo la Masjala lililojengwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania lililozinduliwa na Alex Ngailo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Makete katika Kijiji cha Mwakauta Septemba 25, 2022.
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Makete, Alex Ngailo na Mbunge wa Makete, Festo Sanga (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa MKURABITA, Dkt Seraphia Mugembe pamoja na Mwenyekiti wa kijiji hicho, wakifunua pazia ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa wa jengo hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa MKURABITA, Dkt Seraphia Mugembe, akihutubia katika hafla hiyo na kuahidi kununua samani kwa ajili ya ofisi hiyo pamoja na kugharamia uunganishaji umeme katika jengo hilo.
Bibi mkazi wa Kijiji cha Mwakauta akiwa na furaha baada ya jengo hilo kuzinduliwa.
No comments:
Post a Comment