Mfuko
wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulishiriki katika Maonesho ya
Utalii Karibu Kusini yaliyofanyika katika viwanja vya Kihesa Kilolo
mkoani Iringa, maonesho hayo yalifungwa na Mgeni Rasmi, Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud.
NSSF
ilitumia maonesho haya kwa ajili ya kutoa elimu ya hifadhi ya jamii
kwa sekta binafsi na sekta isiyo rasmi,kuandikisha wanachama, kusikiliza
na kutatua kero za wanachama.






No comments:
Post a Comment