HABARI MSETO (HEADER)


November 01, 2022

RAIS WA ZANZIBAR MHE DK. Hussein ALI MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA CHAMA CHA WANASHERIA WA MABUNGE YA AFRIKA UKUMBI WA HOTELI YA MADINAT AL BAHR MBWENI ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi  Cheti cha Usajili wa Chama Cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika Rais wa Chama hicho, Mussa Kombo Bakari, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 1-11-2022. (Picha na Ikulu).

WASHIRIKI wa Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria  wa Mabunge ya Afrika wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat  Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Jijini Zanzibar leo 1-11-2022. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages