HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 16, 2023

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi Ikulu Jijini Dar es Salaam

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Said Othman Yakub kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Pindi Hazara Chana kuwa Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mohamed Omary Mchengerwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Februari, 2023.

 

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Omary Mchengerwa akiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Pindi Hazara Chana, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Said Othman Yakub wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, 15 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Balozi Pindi Hazara Chana, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Said Othman Yakub.

No comments:

Post a Comment

Pages