HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 19, 2023

TMDA yapata tuzo ya Taasisi Bora Uelimishaji Jamii

 

Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki, Adonis Bitegeko, akipokea tuzo ya Taasisi Bora katika Uelimishaji Jamii kwa mwaka 2022 kutoka kwa Rais wa Chama cha Maafisa Uhusiano wa Umma Tanzania (PRST), Asah Mwambene, wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Umahiri za Maafisa Uhusiano wa Umma jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Afisa Mawasiliano Mwandamizi TMDA, Roberta Feruzi na kulia ni Afisa Mawasiliano Mwandamizi, Schola Njozi. (NA MPIGA PICHA WETU).


Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki, Adonis Bitegeko, akionyesha tuzo ya Taasisi Bora katika Uelimishaji Jamii kwa mwaka 2022.  

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Andrew Matthew (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo za Umahiri wa hizo za Maafisa Uhusiano wa Umma Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Pages