HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 16, 2023

UTT AMIS yadhamini na kutoa elimu mkutano wa Wabunifu Majengo jijini Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Steven Mayeka, akipa ufafanuzi kuhusu shughuli za Uwekezaji zinazofanywa na UTT AMIS kutoka kwa Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku.

Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku, akitoa mada kuhusu fursa zinazotokana na mifuko ya uwekezaji wa pamoja inayoendeshwa na kampuni ya uwekezaji ya UTT wakati wa mkutano wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi uliofanyika jijini Mbeya.

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakisikiliza mada iliyokuwa ikitolewa na Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku.

No comments:

Post a Comment

Pages