HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 15, 2023

Tamasha la Sports Gala 2023 lawakutanisha Wanafunzi, wazazi, walimu kupinga ukatili na unyanyasaji kwa watoto


Mkurugenzi wa Andrew’s Nursery and Primary School, Anna Mwambije, akizungumza wakati wa tamasha la “Sports Gala 2023” lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu  jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki huku likiwa na kauli mbiu “Zuia ukatili na unyanyasaji kwa watoto, endeleza vipaji”
Afisa Michezo Mkoa wa Dar es Salaam, Adorph Halii, akitoa hotuba yake wakati wa tamasha la “Sports Gala 2023” lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu  jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki huku likiwa na kauli mbiu  “Zuia ukatili na unyanyasaji kwa watoto, endeleza vipaji”. Tamasha hilo liliandaliwa na Andrew’s Nursery and Primary School.
Afisa Michezo Mkoa wa Dar es Salaam, Adorph Halii, akimkabidhi kombe mwanafunzi wa Andrew’s Nursery and Primary School, Given Godfrey, baada ya kuibuka washindi katika mchezo wa soka wakati wa tamasha la “Sports Gala 2023” lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu  jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki huku likiwa na kauli mbiu “Zuia ukatili na unyanyasaji kwa watoto, endeleza vipaji”. Kulia ni Meneja Biashara Benki ya CRDB Tawi la Tabata, Godwin Mhina.

 Afisa Michezo Mkoa wa Dar es Salaam, Adorph Halii, akimkabidhi kombe mwanafunzi wa Andrew’s Nursery and Primary School, Marry Kazonda, baada ya kuibuka washindi katika mchezo wa Soka ya Wanawake wakati wa tamasha la “Sports Gala 2023” lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu  jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki huku likiwa na kauli mbiu “Zuia ukatili na unyanyasaji kwa watoto, endeleza vipaji”. Wa pili kulia ni Mjumbe wa Bodi ya shule, Nangi Mwambije.

Mmoja wa wazazi kivishwa medali baada ya kushinda mbio za kukimbia na gunia.
Mgeni rasmi akitoa zawadi.

 

Watoto wakishindana kujaza maji kwenye chupa.



 

No comments:

Post a Comment

Pages