Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bw. Witold Karczewski (kulia)
ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mlynpol ya Poland ambayo ina nia ya
kujenga maghala ya kisasa ya kuhifadhi nafaka katika kanda hapa nchini
wakati alipokagua maghala ya SGR mjini Dodoma Novemba 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Bw. Witold Karczewski
(kulia) ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mlynpol ya Poland ambayo ina nia
ya kujenga maghala ya kisasa ya kuhifadhi nafaka katika kanda hapa
nchini wakati alipokagua maghala ya SGR mjini Dodoma Novemba 6, 2014.
No comments:
Post a Comment