HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 10, 2023

YANGA YANUSA FAINALI CAFCC

 

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa Marumo Gallants ya Afrika Kuisini katika mchezo wa Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) uliofanyika kwenye dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-0.
Stephane Aziz Ki akishangilia bao la kwanza aliloifungia timu yake.

Clement Mzize akiwatoka wachezaji wa Marumo Gallants.

No comments:

Post a Comment

Pages