HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 29, 2023

DC WILAYA YA TEMEKE MH. MATINYI AONGOZA WANANCHI KUFANYA USAFI KATA YA MBAGALA MKOANI DAR ES SALAAM

 

 

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mobhare  Matinyi, akiwaongoza wananchi wa  Kata ya Mbagala Dar es Salaam kufanya usafi leo asubuhi Julai 29, 2023 . 

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mobhare Matinyi (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya kumbukumbu na wananchi  mara baada ya kufanya usafi katika Kata ya Mbagala wilayani humo mkoani Dar es Salaam,  Zoezi hilo lilifanyika  leo asubuhi  Julai 29, 2023. (Picha kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali cha Halmashauri ya Manispaa ya Temeke). 

No comments:

Post a Comment

Pages