HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 05, 2023

Wananchi wajitokeza Banda la Wizara ya Habari kwenye Maonesho ya Sabasaba

 

Wananchi wakipata taarifa za huduma zinazotolewa na Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiwemo uhakiki wa Anwani za Makazi katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba), leo Julai 2, 2023 jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

Pages