HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 06, 2023

ONANA KAMA MLIVYOSIKIA

Na John Marwa

Klabu ya Simba imemtanbulisha kiungo mshambuliaji rai wa Cameroon Willy Essomba Onana kuwa sehemu ya kikosi chao kuanzia msimu ujao.

Onana amefungua dirisha la usajili kwa wekundu wa Msimbazi Simba akitokea Rayon Sports ya Rwanda ambako msimu uliopita aliibuka mfungaji bora na mchezaji bora wa Ligi Kuu Soka nchini humo.

Taarifa ya klabu ya Simba kupitia jukwaa lao la kidijitali limeeleza kuwa.

"Uongozi wa Klabu umefikaia makubaliano ya kumsajili Kiungo mshambuliaji rai wa Cameroon Willy Essomba Onana (23) raia wa Cameroon.

Onana msimu uliopita alifunga mabao 15 akitoa pasi za usaidizi wa mabao 10 akihusika katika mchango wa mabao 25 kwa msimu .


No comments:

Post a Comment

Pages