HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 04, 2023

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati atembelea Banda la TANESCO katika Maonesho ya Sabasaba

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea Banda la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), mara baada ya kushiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania  (TanTrade), kuhusu Mafuta na gesi asilia uliofanyika katika Maonyesho ya 47 ya  Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) ambapo leo Julai 3, 2023 ni siku ya Mafuta na gesi asilia katika maonyesho hayo.


No comments:

Post a Comment

Pages