Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake tarehe 11 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake tarehe 11 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye wa pili kutoka kulia kwenye picha ya kumbukumbu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC Bw. Philip Besiimire pamoja na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni hiyo Bi. Zuweina Farah Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023.
No comments:
Post a Comment