Bondia Oscar Richard Wa Naccoz Aibuka Na Ushindi Wa Majaji Wote Watatu Kwa Kumtwanga Hassan Ndonga Kwa Pointi Kwenye Pambano La Safari Ya Beach Lililofanyika Oktoba,22,2023 Rongoni Beach Kigamboni.
Akizungumza Mara Baada Ya Pambano Hilo La Raundi Kumi Kumalizika Katika Fukwe Za Bahari Jijini Dar es salaam, Amesema Lilikuwa ni Swala la Muda Kudhihirisha Ukubwa Wa Naccoz Kwa Kumpa Kichapo cha aina yake Hassan Ndongo Huku Akituma Salam kwa Wato wanaotaka Kuvunja utawala wa naccoz wanakaribishwa ulingoni.
Mabondia Wengine Walio Ibuka Na Ushindi Kwenye Pambano hilo Ramadhan Idd Akimchapa Kos Mbaya Ramadhan Johncena,Bondia Mtoto Abdullazaq Hamis amemtwanga Kwa Pointi mkongwe Said Faraji Kichwa kicho kuwa na Ubongo,Juma Kijo Ameibuka na ushindi wa pointi Dhidi ya Jackson Malinyingi,Islam Sule Kwa mara nyingine Anamtwanga Shedafa John Wa Tandale Kwa pointi kwenye Pambano Hilo.
No comments:
Post a Comment