Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umekutana na kujadiliana mambo muhimu na Timu ya Ushauri Elekezi ya Korea University Medicine Research and Business Foundation Consortium and JUNGLIM Architecture & Hyundai Asan iliyopewa kazi ya kufanya upembuzi yakinifu kuhusu mradi wa kuijenga upya hospitali hiyo.
Timu hiyo ilianza kazi Disemba 2023 na inategemea kukamilisha kazi hiyo Oktoba, 2024. Mradi huo utajengwa kwa awamu kadhaa na kugharimu takribani TZS. 700 Bil.
February 16, 2024
Home
Unlabelled
UPEMBUZI YAKINIFU KUIJENGA UPYA MUHIMBILI WAENDELEA VIZURI
UPEMBUZI YAKINIFU KUIJENGA UPYA MUHIMBILI WAENDELEA VIZURI
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment