HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 13, 2024

MASHINE ZA KISASA ZA KUHESABIA FEDHA KUTUA NCHINI


Mkurugenzi wa Kampuni ya Avowal (T) Ltd, Mbogolo Kushaha (kulia), akipokea hati ya usambazaji na uuzaji wa mashine za kisasa za kuhesabia fedha kwenye mabenki na taasisi za kifedha na vifaa vyake toka kwa Meneja Masoko wa Kampuni ya Magner International Corporation ya Florida, nchini Marekani, Sherry Qian katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages