HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 11, 2024

RAIS DKT. SAMIA AKIWASILI MJINI KIGALI RWANDA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MTEULE MHE. PAUL KAGAME In

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali tayari kwa kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, tarehe 11 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Waziri katika Ofisi ya Rais Mhe. Judith Uwizeye mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali tayari kwa kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame tarehe 11 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali tayari kwa kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, tarehe 11 Agosti, 2024.


 

 

 

 

No comments:

Post a Comment

Pages