HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 10, 2024

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA LA VIJANA ZANZIBAR BEACH RESORT

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la  Kitaifa la Kuwawezesha Vijana, lililoandaliwa na Taasisi ya Global Youth Empowerment Institute,lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-8-2024.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi atembelea maonesho ya Ubunifu wa Vijana, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Kuwawezesha Vijana, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-8-2024, lililoandaliwa na Taasisi ya Global Youth Empowerment Institute.(Picha na Ikulu)
 

NO.0250-0293-0305-0439///WASHIRIKI wa Kongamano la Kitaifa la Kuwawezesha Vijana wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar leo 10-8-2024.(Picha na Ikulu)

NO.0349///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Tuzo  Kijana Adil Ali Bakar,kwac mchango wake wa Kuwahamasisha Vijana katika Masuala Kutokata Tamaa juu ya Ndoto Zao,katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Kuwawezesha Vijana, lililoandaliwa na Taasisi ya Global Youth Empowerment Institute, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar leo 10-8-2024.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum kwa Mchango wake kwa Vijana, akikabidhiwa na Muazilishi wa Taasisi ya Global Youth Empowerment Institute. Amina Sanga, baada ya kulifungua Kongamano la Kitaifa la Kuwawezesha Vijana, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-8-2024.(Picha na Ikulu)


 

NO.0429-0435///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kitaifa la Kuwawezesha Vijana, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-8-2024.(Picha na Ikulu)   

No comments:

Post a Comment

Pages