Mnyama Simba SC wamekamilisha michezo matatu ya mwanzo wa msimu ambayo amechezo yote ugenini akichukua pointi zote 9 huku akiandika rekodi ya kupata kadi nyekundu tatu katika michezo yote mitatu.
Simba imewakanyaga Singida Black Stars kwa mabao (1-2) kwenye Dimba la Airtel mjini Singida, mabao ya Clatous Chama na Rushine De Reuck alifunga kwa mkwaju wa penati, huku bao la Singida likiwekwa kimiani na Shekhan.
Simba wamefikisha pointi 9 katika michezo mitatu waliyocheza kanda ya ziwa na kanda ya kati dhidi ya Kagera Sugar, Pamba Jiji FC na Singida Black Stars.





No comments:
Post a Comment