Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

WAREMBO MISS UTALII WATEMBELEA FREE MEDIA


Warembo wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Matangazo Twalib Mungulu walipotembea ofisi za Tanzania Daima katika Idara ya Matangazo.
 Washiriki wa shindano la Miss Utalii ngazi ya taifa, wakipata ufafanuzi wa uandaaji wa gazeti la Tanzania Daima, kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa Free Media, Ansbert Ngurumo, wakati walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hili jana jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mhariri wa Michezo, Tullo Chambo. 
Mhariri wa Michezo wa gazeti la Tanzania Daima, Tullo Chambo akifafanua jambo. 
Baadhi ya warembo wakiwa katika kitengo cha usanifu kurasa. Kulia ni Maria Kayala na Mhariri wa Michezo, Tullo Chambo.
 Warembo wa Miss Utalii wakipa maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Uhakiki wa Habari, Julius Kunyara.

No comments:

Post a Comment