Miili ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, askari hao walikuwa wakilinda Aman Darfur Sudan. Miili hiyo itaagwa kwa heshima za kijeshi siku ya Jumatatu Julai 22 Makao Mkuu ya Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.


No comments:
Post a Comment