HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 05, 2013

SHINDANO JIPYA LA TANZANIA TOP MODEL LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

1Mbunifu wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top Model uliofanyika kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es salaam jana na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mitindo ya mavazi, Kulia ni Jackson Kalikumtima Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania Top Model.
 4

No comments:

Post a Comment

Pages