HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 02, 2015

KIIZA ATUA DAR, KUSAJILIWA NA SIMBA

Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka Uganda, Hamis Kiiza (wa pili kulia) akiwasili leo katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya Julai 3 kabla ya kuingia mkataba na Klabu ya Simba. (Na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Pages