WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa
masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu
uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya
Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jijini Arusha (Picha na Loveness
Bernard).
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,
akisalimiana na mdau wa masuala ya utalii na uhifadhi nchini, Willy Chambulo,
muda mfupi baada ya kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo
wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania
(WMA), ulioanza leo jijini Arusha.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na wadau na viongozi wa
Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA), ulioanza jana jijini
Arusha kujadili uboreshaji mfumo wa usimamizi na uendeshaji jumuia hizo.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,
akifuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa wadau na viongozi wa Maeneo ya
Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA).
No comments:
Post a Comment