Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

PAMBANO LA SIMBA NA MWADUI KATIKA PICHA

Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo, akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Mwadui FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo, akiwania mpira na wachezaji wa Mwadui FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Kiuango Simba Said Ndemla (kushoto),akitafuta mbinu zakumtoka beki wa Mwadui FC, Joram Mgeveke, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Winga wa Simba Shiza Kichuya, akifunga bao la penati dhidi ya Mwadui FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam 

No comments:

Post a Comment