HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 21, 2017

Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kwenye Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtambukilisha Waziri wa Biashara, Viwanda na Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Rwanda Mhe. Francois Kanimba kwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Mhe. Gaston Sindimwo kwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kikanda Dkt. Augustine Mahiga.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Viongozi wakijiandaa na mkutano wao wa ndani
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongea na Waziri wa Sheria na Katiba wa Tanzania Profesa Paramagamba Kabudi
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto.
Ujumbwe wa Rwanda mkutanoni hapo.
Gavana wa Benki Kuu Mstaafu Mzee Edwin Mtei (kati) akiwasili ukumbini.
Meza kuu ya viongozi ikiwa imesimama wakati wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wajumbe wa mkutano wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wajumbe wa mkutano wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wajumbe wa mkutano wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Wajumbe wa mkutano wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mpiga picha wa Naibu Rais wa Kenya akiwa kazini.
Sehemu ya wajumbe na mabalozi wa nchi mbalimbali.
Wajumbe na mabalozi.
Mabalozi na wageni waalikwa.
Mshereheshaji akitoa maelezo ya awali.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia.
Wajumbe wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea na hotuba.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimalizaia hotuba na kuaga rasmi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribishwa kitini pake Mwenyekiti mpya Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli na anayeingia Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakirekebisha mkao wa majina.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Dkt Libérat Mfumukeko akifungua pazia.
Wajumbe na wageni waalikwa wakifuatilia.
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya akiendesha mkutano.
Wajumbe wa Tanzania.
Viongozi wakiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa.
Mwanahabari kutoka Burundi akiwa kazini.
Jaji Charles Oyo Nyawezo kutoka Sudan ya Kusini akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Jaji Charles Oyo Nyawezo kutoka Sudan Kusini akipongezwa kwa kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo. 
Jaji Charles Oyo Nyawezo kutoka Sudan Kusini akipongezwa kwa kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo. 
Mhandisi Steven Mrote kutoka Tanzania akila kiapo kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Eng.Steven Mrote kutoka Tanzania kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo. 
Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto akimpongeza Eng.Steven Mrote kutoka Tanzania kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo.
Mshindi wa tano wa insha akipongezwa.
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Yoweri Museveni wa Uganda akimkabidhi zawadi mwanafunzi wa kitado cha nne aliyejishindia nafasi ya nne katika mashindano ya uandishi wa insha ya Jumuiya hiyo kutoka Shule ya Sekondari Kibaha, Tanzania Joseph Mbogo.
Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mwanafunzi wa kitado cha nne aliyejishindia nafasi ya nne katika mashindano ya uandishi wa insha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Shule ya Sekondari Kibaha, Tanzania Joseph Mbogo.
Mshimdi wa tatu wa insha akipokea zawadi yake.
Mshindi wa pili wa insha kutoka Uganda akipokea zawadi yake.
Mshindi wa jumla wa mashindano ya insha kutoka Burundi akipokea zawadi yake.
Tamko la kulimganisha mitaala ya elimu ya juu kwa nchi zote wanachama.
Wanahabari kazini.
Wajumbe wakifuatilia kinachoendelea.
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akihutubia mkutano.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni baada ya kuhutubia kwenye Mkutano.
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akionesha waraka baada ya kuhutubia kwenye Mkutano.
Mabalozi wakifuatilia hotuba kwa makini.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Mstaafu Mzee Edwin Mtei.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja na Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya.
Picha ya pamoja na Sekretarieti ya Jumuiya.
Picha ya pamoja na mabalozi.
Picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wao.

No comments:

Post a Comment

Pages