Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MAOMBI YA DHAMANA YA MANJI YAAHIRISHWA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Maji akitoka Mahakamani Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo baada ya maombi yake ya kutaka apewe dhamana kuahirishwa hadi Agosti 7. Manji anakabiliwa na shtaka la kukutwa na mihuri mbalimbali ya JWZ. (Picha na Said Powa).
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, akiwa katika basi la Magereza wakati akitoka katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
 Manji akitoka mahakamani.
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akitoka mahakamani leo. 
 Yusuf  Manji akitoka Mahakamani.
Yusuf Manji akipanda basi la Magereza.

No comments:

Post a Comment