HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

December 15, 2018

UTT AMIS YATOA ELIMU KWA WAFANYAKAZI KUHUSU UWEKEZAJI WA PAMOJA

 Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga, akitoa mada juu ya uwekezaji wa pamoja kwa wafanyakazi kutoka taasisi mbalimbali, katika semina iliyoandaliwa na 'National Institute of Productivity' mjini Morogoro.
 Ofisa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Martha Mashiku, akifundisha jimsi mifuko ya uwekezaji wa pamoja inavyoweza kuwa suluhisho kwa maisha ya baadae ya kustaafu katika semina iliyoandaliwa na TAGLA.
 Baadhi ya washiriki.
 Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga, akitoa mada juu ya uwekezaji wa pamoja kwa wafanyakazi kutoka taasisi mbalimbali, katika semina iliyoandaliwa na 'National Institute of Productivity' mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Pages