HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 10, 2019

Kasi ya uwekezaji wa Mahenge resources kuboresha kizazi kipya

Makamu wa Rais wa Mahenge Resouces, Hekima Raymond, akimkabidhi dada mkuu wa shule ya msingi Kiwese,Ulanga ikiwa ni utratibu wa kila mwaka wa kampuni hiyo kutoa shehena ya chakula kwa shule za msingi na sekondari.
 Wanfunzi wakishangilia msaada wa chakula kutoka Mahenge Resources.
 Wazazi, walimu, wafanyakazi wa Mahenge Resouces pamoja na wanafunzi.
 Baadhi ya wanafunzi katika shule za Wilaya ya Ulanga wakiwa wamepokea cahkula kilichotolewa nakampuni ya Mahenge Resources.
 
 
NA MWANDISHI WETU
 
KUNA msemo usemao uwajibikaji wa pamoja huwezesha elimu bora kwa kizazi chetu, msemo huo unaungwa mkono na Kampuni ya uzalishaji madini ya Kinywe, Mahenge Resources, kupitia mpango wake wa kusaidia maendeleo ya jamii.

Kampuni hiyo imejizatiti kuhakikisha inasaidia jamii kufikia maendeleo ambapo inaunga mkono jitihada za wananchi na serikali katika  Wilaya ya Ulanga lengo likiwa kuboresha maisha  ya kizazi kipya.

Hivi karibuni Mahenge Resources kupitia mpango wake wa kurejesha kwa jamii ilitoa 6.3 za mahindi na tani 1.1 za maharage kwa shule za msingi na za sekondari Wilayani humo.

Akizungumza Makamu wa Rais wa kampuni ya Mahenge Resources, Hekima Raymond, anasema wanajivunia kuendelea kuwekeza kwenye maendeleo ya kizazi kijacho.

“Mahenge Resources Limited inajivunia kuwekeza kwenye maendeleo 
ya kizazi kijacho cha taifa letu. Kuboresha maisha ya watoto wa kwenye jamii 
yetu ni jambo la kipaumbele cha juu sana kwa kampuni yetu na tutalipa uzito 
mkubwa wakati wote katika utaratibu wetu wa kushiriki maendeleo ya jamii,”anasema.
 
Raymond anasema kwamba, wanatambua elimu bora ni pamoja na kuhakikisha mtoto wa Kitanzania anasoma katika mazingira bora hivyo ni juhudu za kila mmoja kupunguza changamoto ili kupata kizazi kitakachotoa viongozi na taifa bora.

“Tunatambua kwamba watoto hupata changamoto ya chakula 
hasa kipindi cha kabla ya mavuno, hivyo tunataka kuwasaidia kukabili 
changamoto hiyo kusudi wazingatie vizuri masomo yao,"anasema.

Anasema, Mahenge Resources imetoa jumla ya tani 7.4 ambazo 
thamani yake ni Sh. 8,000,000. Ikiwa ni mwaka wa nne 
mfululizo tangu Mahenge Resources ianzishe utaratibu wa kutoa chakula 
mashuleni.

Raymond, anaeleza kwamba matokeo chanya ya shughuli hiyo  yameendelea kuonekana ikiwa ni 
pamoja na ongezeko la mahudhurio ya wanafunzi darasani na kiwango chao 
cha ufaulu kwenye mitihani ya ndani na Zaidi mitihani ya taifa. 

"Mwaka huu tumeongeza kiasi cha chakula tulichogawa mashuleni, na idadi ya shule 
zilizonufaika kwa kuiongeza shule ya msingi Makanga ambayo ni shule Teule ya 
Wilaya ya Ulanga kwa ajili ya kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji 
maalumu,”anasema Makamu wa Rais Raymond.

Anaeleza kwmaba mbali na shughuli ya utoaji utoaji wa chakula mashuleni, Mahenge Resources imekuwa 
ikichangia maendeleo mengine kwenye jamii ikiwemo kugharamia masomo kwa wanafunzi 100 wa sekondari walio katika  familia zenye changamoto kubwa za kiuchumi.

Pia kusaidia upatikani wa maji safi na salama kwa shule zenye mazingira 
yenye changamoto, kusaidia ujenzi wa nyumba za walimu, kusaidia ujenzi wa majengo ya madarasa na madawati shuleni.

Raymond anasema wanasaidia chakula kwa wanafunzi yatima mashuleni, ukarabati wa maabara kwa masomo ya sayansi pamoja na vifaa vyake,mavazi ya michezo kwa vijana, sare maalumu za halaiki ya kizalendo kwa watoto wa Ulanga.
Anasema kwa ujumla mpaka sasa Mahenge Resources imekwishatumia zaidi ya 
Sh. milioni 110 kwa huduma mbalimbali katika utaratibu wake wa 
kusaidia maendeleo ya jamii wilayani humo.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Ngollo Malenya, anaishukuru Mahenge Resources kwa kuwa bega kwa bega na wananchi.
“Tunaishukuru kampuni ya 
Mahenge Resources Limited kwa juhudi kubwa wanazofanya kuchangia 
maendeleo ya Wilaya yetu, na kwa namna maalumu ustawi wa maisha ya 
watoto wetu na vijana wetu.” 

“Sisi katika Halmashauri na Serikali kuu 
Wilayani, na kwa niaba ya wananchi wote wa Ulanga, tunajivunia sana 
ushirikiano endelevu uliopo baina yetu na kampuni hii. Tunaamini ushirikiano huu 
utadumu kwa muda mrefu kwa manufaa ya pande zote mbili ndani na nje ya 
Wilaya yetu,”anasema.

Mahenge Resources inamiliki kwa asilimia 100 mradi wa uchimbaji madini Kinywe 
(Graphite) ulioko wilayani Ulanga. 

Mradi huu unahazina ya tani milioni 212 za 
madini zenye ubora wa asilimia 7.8 kwa kipimo cha TGC. 

Pia una akiba ya tani 70 milioni zenye ubora wa asilimia 8.5 TGC, aidha, mradi huu unatarajiwa kuwa 
unazalisha tani 250,000 kwa mwaka mwa muda wa miaka 25. 

Majibu chanya ya upembuzi yakinifu yamewekwa hadharani Oktoba 2018 
na Februari 2019, na tayari leseni ya uchimbaji imetolewa na serikali ya 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Februari 2019.

Kwa sasa kampuni inashughulikia taratibu uwezeshwaji wa mradi kifedha na kiuhandisi kusudi 
ujenzi wa mgodi uanze ndani ya mwaka huu 2019. 
mwisho

10 comments:

  1. Do not worry excessive in regards to the costs because the savinvs yyou shall mske shall be more than you shall spend.
    Business Collaboration: In this kind of collaboration the business basically hires another organization whoo has soome
    expertise in that relevant field. Since it includes all of the players that handles the inventory from the raw materials towards the finished product
    till it reaches the consumer, it will becomke requireed to optimize and keep tabs onn a similar.

    ReplyDelete
  2. You ssee communication and making decisions skills develop within your employees.

    Some other fabulous places in Australia are Barossa valley and Mclaren whioch is a
    great place to set up wine tours. Effectual Staff Motivation - The success of a company depends on happiness of their employees.

    ReplyDelete
  3. Such radio frequency cards which may be read with the readers even frpm your distance of 4 to 5
    inches. Assess your requirement and study with the catalog that's available at Supply Linne
    Direct and place your own order. However, every one of the types have been sorted as discussed in hazmaat courses ass all of them are hazardous products
    to handle.

    ReplyDelete
  4. Risks exist, and no one can possibly reach success without passing by them.

    Last week your call towards the administrative assistant finally
    hit home and you aare on the CEO's calendar in three weeks.
    Strategic thinking can be a systematic draft
    of steps or actions that azsist company not onl sustain its current position but additionally achieve its growth tasrgets at thee ennd
    of a particular period or duration.

    ReplyDelete
  5. The companys cor activities incllude refining and retailing oof petroleum products inside US, Canada along with the Caribbean. The ecent hacker-attacks on prominent enterprises including Word - Press and Twitter have raised
    security concerns of entrepreneurs and small business owners who're now becoming more cognizant about Information Security.
    And, tnis scenario comes about when all of the stafff members complete teir current
    call without having too be taken through the customers.

    ReplyDelete
  6. Add tto the, the Jura X9 includes its very own patented automatic cleaning and descaling.
    They will offer you information that will help you with suiccessful renovation.
    An ethical site will foreverr transfer several of ths advantage oof its site users
    so that you can increase its clientele.

    ReplyDelete
  7. No, savvy investors should learn to hold combining funds tracking stokck and bond markets and
    rebalance those ass markets move so you get older.
    Venture Capital firms les difficult not ass likely to invest in startup companies with the seed capital stage.
    Wherever individuals get perplexed is where that they can appraise the idea for the similar money and declare dollars strength.

    ReplyDelete
  8. Inattention to Results - When affiliates usually are not
    holding the other person accountable, they aise the likelihood that individual ego and recognition will become
    more vital than collective team results. The best team iis essential and necwssary for any business
    to acquire achievement. Since the success of every company
    depends on thhe ability and performance of the personnel,
    it is crucial too structure proper and effective events.

    ReplyDelete
  9. There is a preoccupation in the majority of market sectors for testing workplace safety taking a regularity
    or harshness of lost time mishaps and happenings. We truly realize that hazardous materials are dangerous goods and may pose threat to the environmjent and mankind.

    One oof thhe fastest growing industries in transportation is container
    shipment inside the maritime sector.

    ReplyDelete
  10. Use professional carpet cleaning services from some cleaner
    London at the vefy least thrice a year. Youu can construct from scratch utilizing
    woo or assemble kits made from plastic or metal ones.
    The most common of the may be the screw type faucet, wherein you just turn the handle too spread out it and transform it on the other to close.

    ReplyDelete

Pages