HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 10, 2020

MAELFU WAJISAJILI KUSHIRIKI CRDB BANK MARATHON 2020

Wadau mbalimbali wakijisajili katika viwanja vya Mlimani City kwa ajili ya kushiriki CRDB Marathon 2020 zitakazofanyika Agosti 16, 2020.

Baadhi ya wadau wa CRDB Marathon 2020 wakisajili katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki mbio hizo zitakazofanyika Agosti 16, 2020.

Wadau wakijiandikisha katika viwanja vya Mlimani City kushiriki CRDB Maratho 2020 zitakazofanyika Agosti 16, 2020.
Joyce Loth akimkabidhi Marathon Kit mmjoa wa washiriki wa CRDB BANK MARATHON 2020, Shaibu Mapunda, baada ya kujiandisha kushiriki mbio hizo.
Ibrahimu Kangamila akipokea  Marathon Kit kutoka kwa Joyce Loth.
Philip king’ori akipewa Marathon Kit kutoka kwa Joyce Loth.
Baadhi ya washiriki wa mbio za CRDB Marathon 2020 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa 'Marathon Kit'

No comments:

Post a Comment

Pages