Vijana wa jijini Dar es Salaam kutoka klabu za Jogging mbalimbali wakiwa kwenye mazoezi yaliyoanzia kwenye viwanja vya Tanganyika Pekaz Kawe jana, ambapo mazoezi hayo yaliambatana na bonanza kubwa la kuaga mwaka. Bonanza hilo liliandaliwa na Kawe Jogging.
Mbunge wa Kinondoni Iddi Azzan akiwapa mazoezi vijana wa vikundi mbalimbali vya Jogging wakati wa Bonanza la kuaga mwaka lililoandaliwa na Klabu ya Jogging ya Kawe jijini Dar es salaam
Mbunge wa Kinondoni Idd Azan akishiriki kwenye mazoezi hayo ambayo yalianzia Kawe kuzunguka hadi mbezi kupitia Lugalo na kurejea tena Kawe kwa kupitia Old Bagamoyo road.
No comments:
Post a Comment