Meneja wa benkiya NMB tawi
la NMB House Bi. Benedictor Byabyato (kulia) akikabidhi madawati 25
yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Victoria Bw.
Sufini Mbwamboiliyopo Dar es Salaam wikiendihii.AkishuhudianiAfisawatawi la NMB
House Jane MubezinaAfisawaElimu.
Meneja wa tawi la NMB House Bi. Benedictor Byabyato
(kulia) wakiwa pamoja na baadhi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Victoria
pamoja na Mwalimu Mkuu wa shulehi yo Bw. Sufini Mbwambo (kulia)
wakati wa makabidhiano ya madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5, jijini Dar es
Salaam
Wanafunzi wa Shule ya Msingi
Victoria wakiimba nyimbo kushukuru benki ya NMB kwa msaada ya madawati waliyotoa shuleni hapo
No comments:
Post a Comment