Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimjulia hali Baba yake mzazi Mzee Savere Kayanza Pinda ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Moi Mzee Mizengo yupo hospitalini hapo baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la nyonga kulia kwa Waziri Mkuu ni muguzi mkuu wa zamu wodi hiyo, Edna Mhina na kushoto kwa waziri mkuu ni Donatila Kwelukila ambaye ni ofisa muuguzi chumba cha wagonjwa mahututi. (Picha na Chris Mfinanga)
December 31, 2012
Home
Unlabelled
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBELEA BABA YAKE HOSPITALI YA MUHIMBILI MOI ALIPOLAZWA
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBELEA BABA YAKE HOSPITALI YA MUHIMBILI MOI ALIPOLAZWA
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment