HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 28, 2012

WENGI WAJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO KWA HIARI-KINONDONI

 Mtaalamu wa kutoka damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Judith Chale akimtoa damu mkazi wa Kinondoni, Zawadi Bakari wakati wa zoezi la upimaji wa afya kwa hiari na uchangiaji wa damu lililoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya kuchangia damu Tanzania (BLODAT) na kufanyika leo kwenye viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam
 Mtaalamu wa kutoka damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Judith Chale akimtoa damu mkazi wa Kinondoni, Sukwa Mohamedi wakati wa zoezi la upimaji wa afya kwa hiari na uchangiaji wa damu lililoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya kuchangia damu Tanzania (BLODAT) na kufanyika leo kwenye viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Pages