HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 19, 2013

KIWANDA CHA KUZALISHA BIA YA ASILI CHAZINDUILIWA MWANZA

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evalist Ndikiro akitembelea kiwanda cha kinywaji aina ya Nzagamba. Wa pili Kushoto ni Mkurugenzi wa kinywaji hicho, Kilowi Suma, Meneja Uzalishaji, Nyamoronga John na Mdeneja Mauzo, Ashraf Gugu.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza Eng.Evarist Ndikilo akikagua sehemu wanapochujia kinywaji aina ya Nzagamba.
 Kushoto ni Mkurugenzi wa kinywaji cha Nzagabwa Kiroi Suma akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Ndfikilo Kulia alipo tembelea kiwanda hicho katikati ni Mkuu wa kiwanda cha Nzagamba Bw.Patrick Phiri.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  Eng.Evarist Ndikilo akiangalia pakti mpya baada ya uzinduzi wa Kinywaji hicho. Kulia ni Meneja uzalishaji, Nyamoronga John.

No comments:

Post a Comment

Pages